Hasira za ‘Kamchape’ Kigoma zilivyosababisha mauaji baa
Kigoma. Ni ugomvi uliotokea ndani na nje ya Baa ya Utulivu iliyopo Kijiji cha Rungwe Mpya katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma na kusababisha mauaji ya Alfred Mikano, lakini kiini cha ugomvi kinatokana na kazi za kundi la Kamchape. Kamchape ni timu ya waganga wa jadi ambapo kiongozi wao anaaminika kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya…