Serikali yatoa kauli maandamano ya Desemba 9
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kilichopangwa kufanyika nchi nzima Desemba 9, 2025 sio maandamano bali ni mapinduzi kwa kuwa hayapo kisheria. Amesema maandamano hayo yanayodaiwa hayana ukomo kufanyika nchi nzima ni kinyume cha sheria kwa kuwa hakuna ombi lolote la kimaandishi la kufanyika maandamano hayo, hakuna anayeratibu na wala…