Serikali yaonya ujazaji abiria kwenye vyombo vya baharini
Pemba. Wakati Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ikiendelea kuwataka wamiliki wa vyombo vya usafiri wa baharini kuepuka kubeba abiria kupita kiasi, wazazi na walezi pia wametakiwa kupunguza idadi ya watoto wanaosafiri nao ili kuimarisha usalama wao safarini. Wito huo umetolewa leo, Desemba 29, 2025, na Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ibrahim Saleh…