WPL mzigo umerudi, mechi tatu kupigwa
MZIGO wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) umerudi tena kwa mechi tatu kutarajiwa kuchezwa kesho Jumatatu Desemba 8, 2025, ikiwamo ile ya watetezi wa taji JKT Queens itakayokuwa inakula kiporo dhidi ya Bunda Queens. Mechi nyingine za kesho katika ligi hiyo ni Alliance Girls dhidi ya Fountain Gate Princess, kikiwa pia ni kiporo, huku Tausi…