Hekta 170 za Mlima Hanang zaungua moto
Hanang. Hekta 170 za hifadhi ya mazingira asili ya mlima Hanang mkoani Manyara, zimeungua moto uliodumu kwa muda wa siku tatu. Mlima Hanang una ukubwa wa hekta 5,371 na urefu wa mita 3,4200 kutoka usawa wa bahari ni wa tano kwa urefu nchini ukitanguliwa na Kilimanjaro, Meru, Loolmalasin na Oldonyo Lengai. Ofisa uhifadhi wa Wakala…