Nsajigwa atoboa siri Transit Camp

KOCHA Mkuu wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa amesema kucheza mechi tano ugenini msimu huu bila ya kupoteza ni ishara ya ukomavu kwa wachezaji wa timu hiyo, licha ya ushindani mkubwa wanaoupata kutoka kwa wapinzani mbalimbali. Akizungumza na Mwanaspoti, nyota huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Taifa Stars, amesema sio rahisi kucheza…

Read More

Askofu Malasusa: Udini silaha hatari kwa amani ya Taifa

Dar es Salaam. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Alex Malasusa amemkemea matamko yenye lengo la kuigawa na kuchochea chuki kwenye jamii dhidi ya dini zao. Akizungumza katika Ibada ya uzinduzi wa jengo la kuabudia KKKT Usharika wa Madale Bethel leo Desemba 7, 2025, Askofu Malasusa amewashukuru Watanzania kwa kuitikia wito…

Read More

Chama la Mtanzania hali tete Oman

CHAMA la mshambuliaji wa Mtanzania Mgaya Ally (Salalah SC), linaloshiriki Ligi Daraja la Kwanza Oman liko kwenye hali mbaya katika msimamo wa ligi. Mgaya alijiunga msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Coastal Union ya Tanga ambako nako alitumikia nusu msimu. Hadi sasa ligi hiyo imepigwa mechi 26 na Salalah iko mkiani mwa msimamo…

Read More

Sherehe za harusi zinavyopewa kipaumbele ndoa zikikosa hamasa

Dar es Salaam. Sherehe za harusi zinaendelea kuwa matukio ya kijamii yanayovutia umati na kuonekana kwenye mitandao ya kijamii. Hata hivyo, ibada ya ndoa, ambayo ni kiini cha tukio, imeonekana kuhudhuriwa na watu wachache ikilinganishwa na zamani. Maendeleo ya teknolojia, vipaumbele vipya vya maisha, mizigo ya kiuchumi na mitazamo mipya ya uhusiano vinaibuliwa kama sababu…

Read More

Msigwa: Tunajitosheleza kibajeti | Mwananchi

Dar es Salaam. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Tanzania inajimudu kuendesha bajeti kuu ya Serikali bila kutegemea msaada kutoka nje, hata ikitokea msaada huo umekosekana. Msigwa amesema hayo jana, Jumamosi Oktoba 6, 2025, alipozungumzia masuala mbalimbali ya kitaifa katika mahojiano maalumu na kituo cha televisheni cha Star TV. Akizungumzia mjadala wa kujitegemea kufuatia…

Read More

Serikali yaahidi kutoa alama ya ubora zao la mwani

Unguja. Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed, ameahidi kuwapatia wazalishaji wa bidhaa za mwani alama ya ubora na uthibitisho, ili kuongeza thamani ya bidhaa hizo na kuimarisha uaminifu katika soko. Hayo amesema leo, Jumapili, Desemba 7, 2025, katika ziara ya kukagua miradi ya uchumi wa buluu na uvuvi katika Mkoa…

Read More

Zuwena Zizou abaini haya Sierra Leone

KIUNGO wa Mogbwemo Queens, Mtanzania Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesema amebaini vitu tofauti tangu alipojiunga na chama hilo linaloshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone. Kiungo huyo alijiunga na timu hiyo akitokea Tausi (zamani ikiitwa Ukerewe Queens) ambako alidumu msimu mmoja akiipandisha katika Ligi Kuu ya Wanawake Bara. Akizungumza na Mwanaspoti, Zizou amesema amepokelewa vizuri na…

Read More