Mwenyekiti wa UWT Arusha awataka wanawake kuwa walinzi wa amani nchini
Arusha. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Arusha, Flora Zelothe amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kulinda misingi ya amani na utulivu nchini, sambamba na kuwaelimisha vijana kuheshimu uhuru na uzalendo ulioasisiwa na viongozi wa awali. Akizungumza jana, Jumamosi Desemba 6, 2025, katika Mkutano wa Baraza la UWT uliojadili mafanikio ya ushindi…