Jamii zinajitahidi kujenga tena kufuatia mafuriko mabaya zaidi ya Pakistan – maswala ya ulimwengu

Wakati jamii zinapambana kujenga tena, wengi wana wakati mdogo wa kuhuzunisha hasara kubwa walizopata. Tangu Juni, zaidi ya watu milioni sita nchini Pakistan wameathiriwa na kile ambacho kimeelezewa kama “mvua nzito za kawaida” ambazo zimedai karibu maisha 1,000, pamoja na watoto wapatao 250. Wakazi bado wanapona kutoka kwa mafuriko ya taa ambayo yalibadilisha mito kuwa…

Read More

Meridianbet Kukupa Uhakika Wa Zawadi na Holiday Drops 2025

MSIMU huu wa sikukuu, Meridianbet imefungua pazia la Holiday Drops 2025, toleo jipya lililosukwa kwa ajili ya kukuongezea tabasamu, msisimko na sababu zaidi za kufurahia mwisho wa mwaka. Ni promosheni iliyotengenezwa kukupa nafasi ya kubadilisha mizunguko yako ya kila siku kuwa mlango wa zawadi za papo kwa papo, huku ukihisi upepo wa sikukuu ukikupeleka moja…

Read More

Piga Mkwanja Mrefu na Meridianbet Leo

JUMAPILI ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki. LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea siku ya leo ambapo Valencia ataumana dhidi ya Sevilla ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye…

Read More

USHINDI WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA UTALII DUNIANI NI CHACHU YA KUENDELEA KUTANGAZA MAZAO MAPYA YA UTALII NGORONGORO

Na Mwandishi Wetu. Baada ya Tanzania kutajwa na mtandao wa World Travel Awards kama nchi inayoongoza kwa Utalii wa Safari mwaka 2025 imekuwa ni chachu ya kutangaza mazao mapya ya Utalii katika soko la Dunia yanayopatikana ndani ya hifadhi ya Ngorongoro. Kamishna Msaidizi Mwandamizi anayeshughulikia huduma za utalii ambaye yupo Bahrain ambapo hafla ya utoaji…

Read More

TAFCA Mwanza yamkingia kifua Matola

CHAMA cha Makocha Tanzania (TAFCA) Mkoa wa Mwanza kimeungana na baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini wanaompigia chapuo kocha mzawa Selemani Matola kuaminiwa na Simba na kupewa jukumu la kukinoa kikosi hicho moja kwa moja. Matola amedumu Simba kama kocha msaidizi kwa takriban miaka 10 akiwa chini ya makocha wengi wa kigeni katika…

Read More