SMZ yaahidi kuimarisha sekta ya michezo Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea kutoa ushirikiano katika kuhakikisha sekta ya michezo inaimarika zaidi na kutoa faida chanya kwa wanamichezo. Hayo yamesemwa leo Jumapili Desemba 7, 2025 na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla katika bonanza la mchezo wa mazoezi ya viungo, lililofanyika Kinduni, Kaskazini Unguja. Hemed amesema, hayo…