Tanzania yaibuka kidedea kwenye Tuzo za Utalii Duniani
Tanzania imeendelea kushikilia nafasi yake ya kimataifa kama ‘nchi Inayoongoza duniani kwa utalii wa safari’ katika hafla ya fainali za World Travell Awads 2025. Tanzania imetunukiwa taji hili adhimu katika sekta ya utalii duniani wakati wa hafla ya 32 ya World Travel Awards (WTA 2025), iliyofanyika katika Ukumbi wa Exhibition World Center nchini Bahrain Desemba…