Watano wakamatwa ulanguzi wa tiketi Magufuli

Dar es Salaam. Watu watano wamekamatwa wakituhumiwa kulangua tiketi katika ukaguzi uliofanyika na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli. Watuhumiwa hao walikamatwa Desemba 5 na 6, 2025. Baadhi ya watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na tiketi 20 hadi 30 kutoka kampuni tofauti za mabasi, wakiziuza kwa bei kubwa kuliko bei…

Read More

Kihongosi:  CCM msikae kimya, kemeeni upotoshwaji mtandaoni

Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho, kutokuwa wanyonge bali kujibu mashambulizi ya upotoshwaji unaofanywa mtandaoni dhidi ya Serikali. Amewataka Wana CCM kujibu mapigo hayo, kwa kuwaelimisha Watanzania lakini si kwa kuwatukana watu hao wanaofanya uchochezi, upotoshaji na kubeza jitihada za kuleta…

Read More

Singida Black Stars v TRA United kazi ipo hapa!

BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kibabe ikiwamo ya Singida Black Stars dhidi ya TRA United. Juzi Yanga iliikandika Fountain kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa KMC…

Read More

Azam ya Ibenge tatizo namba tu

ACHANA na rekodi iliyoandikwa na Azam FC kutinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kikosi hicho chini ya kocha mwenye uzoefu Afrika, Florent Ibenge kinapitia wakati mgumu kutokana na namba kukikataa. Ipo hivi. Azam inapitia nyakati ngumi kupata matokeo ya ushindi kwani mara ya mwisho furaha ya ushindi ni pale ilipofuzu hatua ya makundi…

Read More

Serikali kuwekeza zaidi kwenye michezo, Geay apongezwa

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya michezo ili kuhakikisha nchi inawakilishwa vyema Kimataifa. Ameyasema hayo katika mashindano ya mbio za Nyika za Madunga msimu wa pili zilizofanyika leo Desemba 6, 2025…

Read More

KMC yaachana na Maximo baada ya siku 131

SIKU 131 zimetosha kwa Marcio Maximo kuwa Kocha wa KMC, baada ya klabu hiyo leo Desemba 6, 2025 kutangaza kusitisha mkataba wake. Mbrazili huyo alitambulishwa kuwa kocha wa KMC Julai 28, 2025, amefanikiwa kuongoza timu hiyo katika mechi tisa za Ligi Kuu Bara na kuambulia ushindi mara moja, huku vipigo vikiwa saba na sare moja….

Read More

Mfaransa kuwekeza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imesaini hati ya Makubaliano  na Kampuni ya Africa Global Logistics ( AGL) kwa ajili ya usanifu, ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu katika Bandari ya Bagamoyo. Hati hii ya makubaliano (MoU) imesainiwa leo   Desemba 6, 2025 Makao Makuu ya TPA jijini Dar es…

Read More