Ligi ya Vijana Magharibi A yarejea baada ya kusimama miaka miwili
TIMU 20 zimejitokeza kushiriki Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 na 15 katika Wilaya ya Magharibi A baada ya ligi hiyo kusimama kwa kipindi cha miaka miwili. Akifungua ligi hiyo leo Jumamosi Desemba 6, 2025, Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya Magharibi A, Yussuf Ali Kessi, amesema changamoto ya kukosekana viwanja vyenye…