Guede aongeza mzuka Singida Black Stars
BAADA ya kurejea kuitumikia Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede ameonekana kupandisha mzuka kikosini hapo. Guede ambaye amewahi kucheza Yanga kwa miezi sita msimu wa 2023-2024, kisha muda kama huo ndani ya Singida Black Stars msimu wa 2024-2025, amerejea kwa Walima Alizeti hao na atatambulishwa rasmi pindi usajili wa dirisha dogo utakapofunguliwa Januari…