CHATO TEACHERS SACCOS KUKOPESHA ZAIDI YA MIL. 775*

Katibu wa Chato teachers Saccos, Pius Katani, akitoa ufafanuziKushoto ni Katibu wa Saccos, Pius Katani,(katikati) mwenyekiti wa Saccos, Petro Rwegasira *********** ย CHATO “Maendeleo ya kweli hayawezekani bila mabadiliko ya kifikra, na wale ambao hawawezi kubadilika namna wanavyofikiri hawawezi kubadili chochote” George Bernard Shaw alipata kuandika. Kutokana na ukweli huo unaweza kusema wazi kuwa kazi nzuri,…

Read More

๐—–๐—–๐—  ๐—›๐—”๐—œ๐—ง๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—”๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐— ๐— ๐—” ๐—ช๐—”๐—•๐—”๐—•๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—”๐—๐—œ – ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—˜๐—ก๐—”๐—ก๐—œ

๐˜ผ๐™จ๐™š๐™ข๐™– ๐˜พ๐˜พ๐™ˆ ๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™Ÿ๐™ž๐™—๐™ช ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™›๐™ช๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ก๐™ž๐™– ๐™ช๐™ฉ๐™š๐™ ๐™š๐™ก๐™š๐™ฏ๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ž๐™ก๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฎ๐™–๐™ ๐™š ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™จ๐™š๐™ง๐™ž๐™ ๐™–๐™ก๐™ž ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™˜๐™๐™–๐™ข๐™– ๐™๐™ž๐™˜๐™๐™ค. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. ๐—ž๐—ฒ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ž๐—ถ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜€๐—ถ amewataka watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi kwa kutanguliza utu na muda. Akizungumza na viongozi mbalimbali wa chama na jumuiya…

Read More

Waziri Ndejembe Mitata Janja za Umeme

NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter) yenye lengo la kuboresha na kumrahisishia mteja kufanya manunuzi ya umeme moja kwa moja ikiwa ni mageuzi makubwa ya teknolojia yanayofanywa na TANESCO katika kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma kwa wateja. Ndejembi amezindua Mita janja hizo Disemba 05, 2025 katika…

Read More

Serikali kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara katika kulinda ushindani wa soko.

Na Mwandishi Wetuย ย  Serikali imesema kuwa itahakikisha wafanyabiashara wanapata mazingira wezeshi ya biashara, kupata faida, na kuchangia katika ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambiย  alipomuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushindani Duniani, yaliyofanyikaย  Jijini Dar…

Read More

Walinda amani wa UN wanaonya juu ya ‘ukiukwaji wazi’ kufuatia ndege za hivi karibuni za Israeli – maswala ya ulimwengu

Mgomo huo unakuja wakati vikosi vya jeshi la Lebanon vinaendelea na shughuli kudhibiti silaha na miundombinu isiyoidhinishwa huko Lebanon Kusini mwaka mmoja baada ya kukomesha uhasama kutangazwa nchini. “Tunawahimiza vikosi vya ulinzi vya Israeli kupata njia za uhusiano na uratibu zinazopatikana kwao,” UNIFIL Alisema. “Tunawaonya watendaji wa Lebanon dhidi ya majibu yoyote ambayo yanaweza kuzidisha…

Read More

Zigo kwa madiwani | Mwananchi

Dar/Mikoani. Uapisho wa madiwani katika maeneo mbalimbali nchini umefungua ukurasa mpya wa majukumu, matarajio na mitihani. Pamoja na kupewa dhamana ya uwakilishi kwa miaka mitano, wajibu mkubwa umewekwa mezani: kusikiliza wananchi, kutatua migogoro, kusimamia miradi, kulinda amani na kuhakikisha halmashauri zinasonga mbele. Katika kauli zilizotolewa na viongozi wa wilaya na mikoa, ujumbe unaojirudia ni mmoja:…

Read More