Mageuzi, Tanesco ikizindua mita janja
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limezindua mita janja za umeme ambazo zitamwezesha mtumiaji anaponunua umeme unaingia moja kwa moja. Ilivyo sasa baada ya kununua umeme unalazimika kuingiza tokeni kwenye mita au kwa kutumia rimoti. Mita mpya za kielektroniki zina uwezo wa kuwasiliana kimfumo, hivyo kumwezesha mteja kulipia na kuingiza umeme kwenye mita…