Dk Mwigulu awaambia wananchi wasihofu misaada ilikuwa miaka ya 90
Mwanza. Wakati baadhi ya wananchi wakihofia kusitishwa kwa misaada nchini kufuatia matamko mbalimbali ya kimataifa, Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewatoa hofu wanaohofia kusitishwa kwa misaada nchini, akisema misaada ilikuwa miaka ya ’90’ (1990). Akizungumza na wakazi wa jijini Mwanza katika uwanja wa Nyamagana leo Ijumaa Desemba 5, 2025, Dk Mwigulu amewataka wasihofie misaada kwakuwa…