WAZIRI MKENDA AWASIHI WAHITIMU DIT KUCHOCHEA MAENDELEO YA UCHUMI NA VIWANDA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa Serikali inawetegemea wanasayansi na wahandisi ili kufanikisha dhamira ya Tanzania ya kujenga uchumi wa viwanda, amesisitiza kuwa kundi hilo lina mchango katika kuendeleza ubunifu, kuongeza tija na kuleta maendeleo endelevu nchini. Prof. Mkenda amesema hayo Disemba 5, 2025 jijini Dar es Salaam katika…