VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUKESHA KUIOMBEA NCHI YETU : SENYAMLE
…………. Na Ester Maile Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, amewataka viongozi wa dini nchini kutumia nguvu kubwa kuliombea taifa ili yasitokee matukio ya uvunjifu wa amani kama ilivyokuwa Oktoba 29, mwaka huu wakati wa uchaguzi mkuu. Senyamule, ameyabainisha hayo leo 05 Desemba 2025 jijin Dodoma wakati akifungua kongamano la maombi ya viongozi…