DCEA Yang’ara Tena Uandaaji wa Taarifa za Fedha

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mshindi wa kwanza na kupewa tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu International Public Sectors Accounting Standards (IPSAS) katika kundi la Taasisi za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hiyo imetolewa tarehe…

Read More

VIWANJA | Mwanaspoti

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ujenzi wa viwanja vya michezo ni hatua muhimu katika kuibua na kukuza vipaji vya vijana nchini. Ametoa kauli hiyo jana Desemba 4, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo katika Wilaya za Unguja. Waziri huyo amesema…

Read More

DCEA YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UANDAAJI BORA WA HESABU 2024

 ::::::::: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mshindi wa kwanza na kupewa tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu International Public Sectors Accounting Standards (IPSAS) katika kundi la Taasisi za Serikali zinazojitegemea.  Tuzo hiyo imetolewa…

Read More

Nabi afichua jambo Yanga akiitabiria makubwa CAF

KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ameiangalia timu hiyo kupitia mechi mbili za awali za Kundi B za Ligi ya Mabingwa Afrika na kujikuta akifurahi, kisha akawapa ushauri wa mambo akisema kama wakitulia wanatinga robo fainali. Katika mechi hizo mbili, Yanga ilianza na ushindi wa bao 1-0 mbele ya AS FAR Rabat ya Morocco…

Read More

Joseph Guede anahesabu siku Singida Black Stars

MSHAMBULIAJI  wa zamani wa Yanga, Joseph Guede anahesabu siku tu kabla ya kurejea tena Singida Black Stars, inayoelezwa imeshamalizana naye na kumsainisha mkataba wa kuitumika kuanzia dirisha dogo la usajili wa ligi hiyo. Guede aliitumikia timu hiyo msimu uliopita  kabla ya kuondoka mapema kutokana na kuwa na majeraha na sasa inadaiwa kila kitu kimekaa sawa…

Read More

Makang’a ajiandaa kurejea Ligi Kuu

UONGOZI wa Mashujaa FC umemalizana na kiungo mshambuliaji wa Bigman FC, George Makang’a atakayeanza kuitumikia timu hiyo mara baada ya dirisha dogo kufungwa. Makang’a ataingia katika mfumo wa Mashujaa rasmi na kutambulika kama mchezaji wa yimu hiyo baada ya dirisha dogo la usajiri ambalo linafunguliwa mwanzoni Januari mwakani. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya timu…

Read More

Wagosi wanazitaka pointi tatu za Yanga

BAADA ya kuambulia sare ugenini dhidi ya Mashujaa, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohamed Muya amesema wana dakika 90 ngumu kuwakabili watetezi wa Ligi Kuu Bara katika mechi itakayopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Mechi hiyo itakayopigwa kuanzia saa 1:15 usiku jijini Dodoma kutokana na kufungiwa kwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ikiwa ni kati…

Read More

Siri ya Matola kudumu muda mrefu Simba

USIKU wa jana Simba ilikuwa uwanjani ikiumana na Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini gumzo mtaani na hata mtandaoni ni ishu ya Seleman Matola, kocha msaidizi anayekaimu ukocha mkuu kwa sasa katika timu hiyo. Ndiyo, Matola ndiye aliyeiongoza timu katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo baada ya Dimitar Pantev…

Read More