DIWANI KATA YA KALANGALALA AKABIDHIWA OFISI
Viongozi wa kata ya Kalangalala katika halmashauri ya manispaa ya Geita leo Disemba 04, 2025 wamempokea diwani wa kata hiyo Reuben Sagayika katika hafla fupi iliyohudhuriwa na wenyeviti wa mitaa ya kata hiyo, wakuu wa idara za elimu, afya na maendeleo ya Jamii na baadhi ya walimu wa shule zilizopo katika kata hiyo. Hafla ya…