Wahitimu watakiwa kujiamini, kutumia maarifa kwa uadilifu
Dar es Salaam. Wahitimu wamehimizwa kuendeleza nidhamu, ustahimilivu na kujituma baada ya kupitia safari yenye changamoto nyingi lakini walidumu katika misingi hiyo. Wito huo umetolewa leo Desemba 4, 2025 na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dk Ali Mohamed Shein katika mahafari ya 24 ya chuo hicho tawi la Dar es Salaam yaliyofanyika Mlimani City. Amesema…