Ubora wa Dar City, Fox Divas uko hapa

DAR City (DSM) na Fox Divas (Mara), zimeonyesha ubabe katika Ligi ya Kikaku ya Taifa (NBL), inayofanyika kwenye Uwanja wa Chinangali, Dodoma na kudhihirisha uwekezaji unalipa. Timu hizo ambazo zinatajwa kuwekeza katika kusajili wachezaji bora, Dar City iliyoanza uwekezaji huo mwaka 2022,   ikishiriki ligi ya kikapu ya daraja la kwanza mkoa wa Dar es Salaam,…

Read More

Kiungo Tausi FC apata dili Sierra Leone

KIUNGO wa zamani wa Tausi FC, Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Sierra Leone. Kiungo anajiunga na timu hiyo akitokea Tausi ambako alidumu msimu mmoja akiipandisha chama hilo zamani likiitwa Ukerewe Queens Ligi Kuu. Kabla ya hapo aliwahi kuzitumikia Kigoma Sisters, Baobab Queens, Thika…

Read More

Shetta: Sitakuwa Meya wa mtu

Dar es Salaam. Meya mpya wa Jiji la Dar es Salaam, Nurdin Juma, maarufu Shetta amesema katika uongozi wake atahakikisha kila mmoja anapata haki yake inayostahiki na hakuna atakayependelewa. Diwani huyo wa Mchikichini katika kuhakikisha hilo amesema yeye siyo meya wa mtu bali ni wa Jiji la Dar es Salaam. Shetta amesema hayo leo Desemba…

Read More

Azimio lililopitishwa linalotaka Urusi kurudi watoto wa Kiukreni – maswala ya ulimwengu

© UNICEF/OLESII Filippov Mwanamke anamkumbatia msichana karibu na jengo la makazi lililopigwa na makombora huko Kyiv, Ukraine. Jumatano, Desemba 03, 2025 Habari za UN Kikao maalum cha dharura cha Mkutano Mkuu wa UN kinachoangazia uchokozi wa Urusi dhidi ya Ukraine kimeungana tena huko New York ambapo shirika la ulimwengu limepitisha azimio linalotaka Moscow kumaliza uhamishaji…

Read More

ZAIDI YA BILIONI 66.6 KUING’ARISHA CHATO

 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chato, Mandia Kihiyo, akitoa ufafanuzi …….. CHATO HALMASHAURI ya wilaya ya Chato mkoani Geita inakusudia kukusanya na kutumia kiasi cha bilioni 66,619,120 kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Serikali kuu, Halmashauri na wadau wengine wa maendeleo. Hatua hiyo inakusudiwa kuing’arisha wilaya hiyo kutokana na fedha nyingi kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo…

Read More

Ambulensi zanaswa zikiwa na abiria

Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubeba wagonjwa (ambulance) waliokuwa wakitumia magari hayo kubeba abiria wasio na dharura, kinyume cha taratibu na sheria za usalama barabarani, hali inayotafsiriwa kuongeza hatari kwa watumiaji wa barabara. Akizungumza na wanahabari leo Desemba 4, 2025, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex…

Read More