DRC, Rwanda kusaini mkataba wa amani mbele ya Trump
Viongozi wa mataifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wako Washington, Marekani kwa ajili ya kusaini makubaliano ya amani yanayolenga kumaliza mgogoro wa muda mrefu katika eneo la Mashariki ya DRC, kwa mwaliko wa Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais wa DRC, Félix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame wamekuwa wakirushiana…