Simba, Yanga zarudi mzigoni kukipiga leo

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Alhamisi kwa mechi mbili vinazohusisha vigogo Simba na Yanga zinazokabiliana na Fountain Gate na Mbeya City zikitoka katika majukumu ya mechi za kimataifa za Ligi ya Mabingwa Afrika ugenini. Yanga yenyewe itaanza kazi saa 10 jioni kuikaribisha Fountain Gate kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam kabla…

Read More

Siku 61 za Pantev na mastaa wanne tu Simba

KOCHA Dimitar Pantev aliyekuwa akitambulishwa kama meneja mkuu wa Simba amehitimisha siku 61 na huwezi kuamini siku hizo kuna mastaa wanne pekee waliotumika zaidi katika kikosi hicho chenye wachezaji 27, huku akizungumza na Mwanaspoti. Pantev aliyetambulishwa Oktoba 3 kama meneja mwenye taaluma ya ukocha, ameiongoza Simba katika mechi tano za mashindano ikiwamo moja ya Ligi…

Read More

TBC kuonyesha AFCON bure | Mwanaspoti

MKURUGENZI wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Ayub Rioba Chacha, amesema mechi 32 za kuwania Fainali ya Mataifa ya Afrika (AFCON) zitarushwa mubashara bure kwenye chaneli ya TBC1 na TBC Taifa kwa ubora na ubunifu. Fainali hizo zitakazofanyika nchini Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026, timu ya taifa ya Tanzania itashiriki ikiwa…

Read More