FCC YATOA ELIMU KWA MAWAKALA WA FORODHA

📍 Dar es Salaam  Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushindani Duniani Tume ya Ushindani (FCC) imekukutana na wadau wote wanaohusika na utoaji wa mizigo bandarini kupitia chama chao cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) ili kuwapa elimu na kuwafahamisha kuwa FCC imeingia katika mfumo rasmi wa ukaguzi bidhaa wa pamoja yaani Tanzania Other…

Read More

JAMII IWALINDE, KUWEZESHA WENYE ULEMAVU- WAKILI MPANJU

Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju ameitaka jamii kuwawezesha watu wenye ulemavu ili waweze kuishi kwa amani na kushiriki katika maendeleo na kuzifikia haki zao za msingi. Wakili Mpanju ameyasema hayo tarehe 3 Desemba 2025 katika Maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu Kitaifa yaliyofanyika…

Read More

Kwa miaka 78, Wapalestina wamekataliwa haki zao ambazo haziwezi kutengwa na haki yao ya kujiamua-maswala ya ulimwengu

Mikopo: UN Picha/Loey Felipe Septemba 2025 Maoni na Annalena Baerbock (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Desemba 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Desemba 4 (IPS) – Kwa miaka sabini na nane, swali la Palestina limekuwa kwenye ajenda ya Mkutano Mkuu, karibu kama taasisi yenyewe. Azimio la 181 (ii) lilipitishwa na Mkutano Mkuu…

Read More

Ujumuishaji wa kweli wa watu wenye ulemavu ni ushindi kwa sisi sote: Guterres – Maswala ya Ulimwenguni

“Wakati kuingizwa ni kweli, kila mtu anafaidika,” Un Katibu Mkuu António Guterres alisema katika yake Ujumbe kwa alama Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu. Alisisitiza kwamba watu wenye ulemavu huendeleza maendeleo ambayo yanafaidi kila mtu, akionyesha jinsi uongozi wao umeboresha utayari wa janga, kupanua elimu na ajira pamoja, na kuhakikisha kuwa majibu ya kibinadamu…

Read More

TCB YAANDIKA HISTORIA KUPITIA STAWI BOND

::::::::: Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imefanikiwa kuorodhesha rasmi Stawi Bond katika Soko la Hisa la Dar es Salaam baada ya kuvuka lengo la mauzo na kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 140.24 dhidi ya lengo la Shilingi bilioni 50. Mafanikio haya yanafungua fursa mpya za mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs), kuongeza…

Read More

Mauzo ya bidhaa, huduma nje yafikia Sh42.128 trilioni

Dar es Salaam. Mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania nje ya nchi yameongezeka hadi kufikia Sh42.128 trilioni katika mwaka ulioishia Septemba 2025 kutoka Sh36.712 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024, Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza. Wakati mauzo haya yakizidi kupaa, wadau wanashauri nchi kuendelea kuongeza nguvu katika kuzalisha bidhaa zake…

Read More