Afrika yapata uongozi mpya misitu, wanyapori, Profesa Silayo aaga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira wa Gambia, Ebrima Jawara kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa mkutano wa 25 wa Tume ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWC25) na wiki ya tisa ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWW9). Jawara anachukua nafasi ya Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo ambaye…