MVUA KUBWA ZAHARIBU MIUNDOMBINU, USAFIRI WA SGR NA BARABARA WAATHIRIKA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Imeeleza kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha uharibifu wa miundombinu muhimu, ikiwemo reli, barabara na mifumo ya umeme, hali iliyoathiri shughuli za usafiri wa abiria na shehena katika baadhi ya…