Mvuvi ahukumiwa kifo kwa mauaji ya mama lishe
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mvuvi, Gato Francis, aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya mamalishe, Neema Julius, kwa kumkata kwa panga shingoni kisha kumwibia Sh250,000. Kwa mujibu wa Jamhuri katika kesi hiyo, mwili wa marehemu ulikuwa na jeraha shingoni la kukatwa na kitu chenye ncha kali, ukiwa umefungwa mikono, uso ukiwa…