‘Raia waliuawa, wengine walikatwa kichwa’ – maswala ya ulimwengu

Ripoti za wakala Kwamba karibu 100,000 wamehamishwa hivi karibuni katika wiki mbili zilizopita pekee, kufuatia shambulio lililozidi kuongezeka kwa vijiji na spillover ya haraka ya vurugu katika wilaya salama za hapo awali. Akiongea kutoka kwa erati iliyojaa migogoro kaskazini mwa Msumbiji, Xavier Creach alionyesha wasiwasi juu ya mashambulio na kutoweza kujibu vya kutosha. “Mashambulio haya…

Read More

Mayanga: Mechi mfululizo zimetuponza | Mwanaspoti

MASHUJAA imetoka sare ya pili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na Coastal Union na kukata wimbi la ushindi kwa timu hiyo na kocha Salum Mayanga amefichua kilichowaponza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma. Timu hiyo imecheza mechi nne mfululizo na kushinda mbili dhidi ya Namungo na Mbeya City…

Read More

Tutuba: Wahasibu nguzo muhimu kufanikisha dira 2050

Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amewataka wahasibu na wakaguzi wa hesabu nchini kuchukua nafasi ya kipekee katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kujenga uchumi wa dola trilioni moja, akisema taaluma ya uhasibu kisasa ndiyo injini ya uendelevu, uwajibikaji na ushindani wa…

Read More

Meya Uzairu aahidi Temeke ya viwango

Dar es Salaam. Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Temeke leo Jumatano, Desemba 3, 2025 limekutana kwa mara ya kwanza na kuunda rasmi safu yake ya uongozi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kikao hicho pia kumeshuhudiwa uchaguzi wa viongozi wakuu wa baraza hilo ambapo Uzairu Athumani amechaguliwa kuwa Meya na Nuru Cassian kuwa Naibu…

Read More

Pedro awapa tano mastaa Yanga

MASHABIKI wa Yanga wana furaha vilevile mabosi wao, siri ni moja tu ni kwamba kikosi cha timu hiyo kilivyobadilika, lakini kocha Pedro Goncalves mwenyewe humwambii kitu kuhusu wachezaji. Kocha Pedro ameliambia Mwanaspoti, amekielewa kikosi cha timu hiyo na kwamba sasa ana imani kubwa na wachezaji namna wanavyoendelea kuimarika kwenye mechi ambazo amekuwa nao hadi sasa….

Read More

Simba kuna ujumbe wenu hapa

MSIMBAZI hali si shwari tangu ilipofanya Mkutano Mkuu wa mwaka Jumapili iliyopita na kisha timu hiyo kupoteza mechi ya pili mfululizo ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Stade Malien ya Mali iliyomponza Dimitar Pantev kufutwa kazi, lakini sasa wamepewa ushauri wa bure. Pantev aliyeiongoza Simba katika mechi tano za mashindano tangu…

Read More

Wapenzi wanaswa na dawa mpya za kulevya, madhara yake…

Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watuhumiwa wawili wakiwa na dawa mpya za kulevya zinazodaiwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu kutokana na uwezo wake wa kusababisha usingizi ndani ya muda mfupi, kufuta kumbukumbu na kusisimua mwili. Hii ni mara ya kwanza nchini kukamatwa dawa hizo aina ya…

Read More