Dilunga atoboa siri JKT | Mwanaspoti
KIUNGO mkongwe wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga ameweka siri inayomfanya kusalia ndani ya kikosi cha JKT Tanzania kwa muda mrefu, huku akimtaja kocha Hamad Ally. Mkongwe huyo huu ni msimu wa tatu ndani ya JKT, tangu alipoagana na Simba aliyoitumikia kwa miaka mitatu mfululizo baada ya kutoka Yanga. Dilunga alisema, licha ya kwamba anapokea…