SERIKALI YAONYA UDANGANYIFU WA MIRADI

Katibu tawala(DAS) Wilaya ya Chato, Thomas Dimme, akikabidhi mkopo wa pikipiki kwa kikundi cha bodaboda ………… CHATO SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imeonya udanganyifu wa baadhi ya miradi inayotekelezwa kupitia fedha za mikopo ya aslimia 10 za halmashauri ya wilaya hiyo, huku ikiwataka wanawake, Vijana na watu wenye Ulemavu kuwa na ubunifu wa miradi yenye…

Read More

SGA SECURITY YASHINDA TUZO YA CHAGUO LA MTUMIAJI 2025

KAMPUNI  ya Ulinzi ya SGA Security imetajwa tena kuwa miongoni mwa watoa huduma za usalama wanaoaminika zaidi barani Afrika, baada ya kushinda Tuzo ya Chaguo la Mtumiaji kwa mwaka 2025 (Consumer Choice Awards Africa 2025). Tuzo hiyo ilitangazwa kwenye tamasha la mwaka la utoaji wa tuzo hizo lililofanyika katika Ukumbi wa SuperDome, Masaki, jijini Dar…

Read More

Access Bank Yazindua Access Wezesha na Kushirikiana na AIESEC IFM Kuwajengea Uwezo Zaidi ya Vijana 200 Katika Maarifa ya Uelimishaji wa Fedha

Access Bank Tanzania imezindua rasmi Access Wezesha, jukwaa jipya linalolenga kuwawezesha vijana wa kizazi kijacho kupata maarifa muhimu ya uelewa wa masuala ya fedha. Benki imeshirikiana na AIESEC IFM kuendesha mafunzo ya kina ya elimu ya fedha kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, ambapo zaidi ya vijana 200 walihudhuria ili kujifunza kuhusu akiba, upangaji bajeti, na…

Read More

Wananchi wapaza sauti changamoto ya daraja

Pemba. Wananchi wa vijiji vya Ng’wambwa na Vikunguni, Mkoa wa Kusini Pemba wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa daraja ambalo limekuwa kero kwa wananchi, hususani kipindi cha mvua. Kwa mujibu wa wananchi, daraja hilo linalounganisha mawasiliano ya vijiji hivyo viwili limekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua, kwani huwawia vigumu kuvuka kupitia daraja hilo. Wakizungumza na Mwananchi…

Read More

Mchungaji asisitiza haki, Butiku akihimiza malezi kwa vijana

Dodoma. Viongozi na wanasiasa nchini, wameaswa kutohubiri amani pekee bila kutaja neno haki, kwani moja kati ya maneno hayo likisimama peke yake huwafanya watu kuwa watulivu kwa muda, huku Watanzania wakielezwa kuwa malezi ya vijana yamo mikononi mwao. Mchungaji Felix Msumari wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ametoa kauli hiyo wakati wa kuhitimisha…

Read More