KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA PLC YAKABIDHI VIFAA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM ZANZIBAR.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh Lela Mohamed Mussa (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Philip Besiimire na viongozi wengine wa Vodacom mara baada ya kampuni hiyo kukabidhi vifaa mbalimbali vya usaidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum ikiwamo…