Trump apiga ‘stop’ maombi ya uhamiaji kwa raia wa nchi 19
Dar es Salaam. Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka nchi 19, hatua iliyoibua sintofahamu nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hatua hiyo inajumuisha maombi ya ukaazi (green card) na uraia, kwa wahamiaji kutoka nchi 19 zilizowekewa marufuku ya kusafiri mapema mwaka huu. Marufuku hiyo inawahusu raia wa…