Samia anavyojipanga kusimamia utawala wa sheria, uwajibikaji

Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kusimamia utawala wa sheria pamoja na kuhakikisha watumishi wa umma wanakuwa na uadilifu na uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi kote nchini. Katika hotuba yake wakati akizindua Bunge la 13 jijini Dodoma, Novemba 14, 2025, Rais Samia alieleza kwamba katika miaka mitano ya Serikali ya awamu ya sita,…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Muhimu kuyajua matokeo baada ya ghasia za kuangusha Serikali

Oktoba 20, 2011, saa 2:30 asubuhi kwa saa za Ulaya Mashariki (Eastern European Standard Time), saa 4:30 asubuhi Tanzania, aliyekuwa Kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, akiongozana na vikosi vya jeshi la Libya, walikuwa wakikatiza barabarani kwenye mji wa Sirte. Uelekeo wa Gaddafi ulikuwa kwenye eneo Jarref Valley, mji aliozaliwa. Inaamimika kuwa Gaddafi alikuwa na uhakika…

Read More

Elimu si uvumbuzi, bali uvumbuzi ni elimu

Leo namkumbuka mwamba wa kuitwa Abunuwasi. Kwa taarifa tulizonazo jamaa alikimbia umande, lakini alikuwa na akili zaidi ya mchwa. Alichemsha vichwa vya wanazuoni na wanasheria kwa mawazo yake mapya wakati wa mijadala na hukumu za mashauri mbalimbali. Katika moja ya vituko vyake, alitumia hesabu ndefu katika mchanganuo wa kutekeleza hukumu dhidi ya baba mkwe wake,…

Read More

Nimeamriwa kufungua hekalu la God la KGBJRJFRM

Nikiwa sina hili wala lile, juzi, nilitokewa na Malaika wa Bwana, akaniminyaminya na kuniamru nianzishe Kanisa ili kuikoa dunia hii inayoangamizwa na uzwazwa. Mwanzoni nilikataa kufanya hivyo nikidhani ni ndoto tu. Mara ya pili, si nilimezwa na samaki aina ya changu kwa siku tatu kule Manzese mpaka Bi Mkubwa alipostuka wakati nilikuwa napitia kwenye majaribio…

Read More

Mamilioni ya kazi zilizo hatarini huko Asia-Pacific kama kupitishwa kwa AI katika mataifa tajiri-maswala ya ulimwengu

Kama vile ukuaji wa uchumi katika 19th Karne “igawanye ulimwengu kuwa matajiri wachache na masikini”, Mapinduzi ya AI yanaweza kufanya vivyo hivyo. “Nchi ambazo zinawekeza katika ustadi, kompyuta nguvu na mifumo ya utawala mzuri itafaidika, zingine zinahatarisha kuachwa nyuma sana“Alionya Philip Schellekens, mchumi mkuu wa mpango wa maendeleo wa UN kwa mkoa wa Asia na…

Read More