WADAU KANDA YA KASKAZINI WAPEWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA KEMIKALI
Meneja wa Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Eliamini Mkenga, akiongea wakatiakifungua mafunzo ya usimamizi salama wa kemikali kwa wasimamizi wakemikali kutoka kampuni ya Gasco na wadau wengine wa Arusha katikamafunzo yanayofanyika katika hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025. Msimamizi wa Dawati la Huduma za Udhibiti, Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Joshua Mustafa…