VIJANA HAWANA UZALENDO KWA NCHI YAO- RAIS SAMIA
Na Janeth Raphael MichuziTv – Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesisitiza umuhimu wa kudai haki kwa njia sahihi badala ya uharibifu, ghasia na uvunjifu wa amani walioufanya Oktoba 29, 2025, akionesha pia kusikitishwa na madai ya ugumu wa maisha unaoelezwa na baadhi yao. Rais Samia amebainisha hayo leo Jumanne Disemba…