Zakaria amtibulia Kennedy Juma singida
UONGOZI wa Singida Black Stars una mpango wa kumtoa kwa mkopo nahodha wa timu hiyo, Kennedy Juma kwenda Mashujaa ambako umemng’oa Abdulmalik Zakaria. Zakaria anayecheza beki wa kati tayari ameshaanza kazi akiitumikia timu hiyo katika michuno ya Kombe la Mapinduzi 2026 akiwa sambamba na Abdallah Kheri ‘Sebo’ waliojiunga na timu hiyo dirisha dogo la usajili…