Tanzania yaongoza kuuza bidhaa zake Uganda

Dar es Salaam. Tanzania imeendelea kuwa kinara wa mauzo ya bidhaa zake nchini Uganda, ikifikisha thamani ya Dola za Marekani 2.26 bilioni (zaidi ya Sh5.58 trilioni) katika miezi 10 ya kwanza ya mwaka 2025. Kiasi hicho, kinazidi mauzo ya Kenya na hata jumla ya nchi nyingine zote za Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa Benki Kuu…

Read More

Wazir JR arejesha majeshi Dodoma Jiji

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Waziri Junior anatarajiwa kuanza kuitumikia timu hiyo kupitia dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi, 2026 baada ya awali nyota huyo kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi mwishoni mwa msimu uliopita. Nyota huyo amerejea tena Dodoma Jiji baada ya kuondoka Februari 7 mwaka huu kwenda kujiunga na…

Read More

Fountain Gate yavizia straika Mbeya Kwanza

WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Alhamisi mabosi wa Fountain Gate wameanza mazungumzo ya kupata saini ya mshambuliaji nyota wa kikosi cha Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship, Boniface Mwanjonde. Mwanaspoti linatambua, jana Jumamosi mabosi wa Fountain Gate walikuwa wanamfuatilia kwa ukaribu akiwa na Mbeya Kwanza, iliyokuwa inacheza na Gunners, katika mechi ya Championship…

Read More

Ajali ya basi yaua mmoja, kujeruhi 20 Dodoma

Dodoma/Dar. Siku tatu baada ya ajali iliyotokea mkoani Tanga na kusababisha vifo vya watu watano, nyingine imetokea mkoani Dodoma, ambako mmoja amepoteza maisha na wengine 20 kujeruhiwa. Desemba 25, 2025, saa 10:30 alfajiri, katika Kijiji cha Taula, wilayani Handeni, kwenye barabara kuu ya Chalinze – Segera, mkoani Tanga ilitokea ajali iliyosababisha vifo vya watu watano….

Read More

Sera ya nyaraka, kumbukumbu mbioni Zanzibar

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ipo katika hatua za mwisho kukamilisha Sera ya Nyaraka na Kumbukumbu itakayoratibu na kusimamia masuala yote ya utunzaji wa nyaraka, ikiwa ni sehemu muhimu ya kuhifadhi na kuifahamu historia ya visiwa hivyo. Hayo yamesemwa leo Jumapili Desemba 28, 2025, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi…

Read More

Cheche aachia ngazi Chama la Wana

KLABU ya Stand United ‘Chama la Wana’, imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Idd Nassor ‘Cheche’, ikiwa ni baada ya kuiongoza timu hiyo katika mechi 12 msimu huu kwenye Ligi ya Championship. Kocha huyo wa zamani wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam, aliliambia Mwanaspoti…

Read More

Fanya haya matarajio ya ndoa yanapoyeyuka

Ndoa ni safari ya kipekee inayohitaji kujitolea, ustahimilivu, na mabadiliko ya mara kwa mara ili iweze kudumu. Wakati ndoa inapoanza, wanandoa mara nyingi huwa na matarajio makubwa, wakiwa na ndoto ya kuwa na maisha bora pamoja, kujenga familia yenye furaha, na kushirikiana katika changamoto na furaha za maisha. Hata hivyo, katika maisha ya ndoa, si…

Read More

Kocha Gunners akomalia nyota tisa

KOCHA Mkuu wa Gunners ya jijini Dodoma, Juma Ikaba, amesema kwa sasa wanapambana kuwaingiza wachezaji wapya tisa katika mfumo pindi dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi 2026, baada ya kushindwa kucheza tangu msimu umeanza. Akizungumza na Mwanaspoti, Ikaba amesema kuna wachezaji tisa ambao hawajaichezea timu hiyo hadi sasa, baada ya baadhi yao kukosea kuingiza…

Read More

Neno ‘katekwa’ lilivyotikisa 2025 | Mwananchi

Moshi. Neno ‘ametekwa’ lilitumiwa kwa kiwango kikubwa mwaka 2025 na ndugu na marafiki kwa kila tukio la ukamataji, hali iliyokuwa ikizua taharuki. Lakini swali linalojibiwa na mawakili ni kwa nini kila ukamataji ulihesabika kuwa ni utekaji. Katika matukio hayo ya ukamataji, kwa wale ambao baadaye walipatikana wakiwa vituo vya polisi au kutoweka kabisa na hadi…

Read More