Huyu hapa kumrithi Pantev Simba
Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba yake. Simba impoteza mechi mbili za mwanzo ilizocheza kwenye kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo, ilianza kufungwa nyumbani kwa bao 1-0 na Petro Luanda…