Machifu Mbeya wataka watekaji washughulikiwe
Mbeya. Viongozi wa kimila mkoani Mbeya, machifu, wamelaani vurugu zilizotokea Oktoba 29, huku wakiiomba Serikali kuwachukulia hatua watekaji na kusikiliza kilio cha vijana. Wakati huohuo, umoja wa waendesha bajaji jijini humo umetangaza msimamo wao kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na Desemba 9 mwaka huu. Oktoba 29 mwaka huu, baadhi ya Watanzania walishiriki Uchaguzi Mkuu wa…