Rais Samia atoa msimamo, awagusa maaskofu Katoliki, EU
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msimamo wa Serikali anayoiongoza, akisema haitakubali kupangiwa cha kufanya, wala kupewa masharti na yeyote, badala yake ataongoza kwa misingi ya Katiba na sheria. Msimamo huo wa Rais Samia, unajibu matamko ya wadau mbalimbali likiwamo la Bunge la Ulaya (EU), lililoitaka Tanzania kumtoa mahabusu bila masharti Mwenyekiti wa…