Watoto wenye uhitaji kimaisha waguswa
Dar es Salaam. Katika kuunga mkono jitihada za malezi na ustawi wa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, Benki ya Absa imekabidhi msaada wa mahitaji muhimu yatakayo wasaidia kujikimu kimaisha. Taasisi hiyo imeunga juhudi hizo kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali ikiwemo vyakula, sabuni, vinywaji na mashine nne za cherehani kwa kituo cha kulelea watoto yatima…