Video: Rais Samia Atoa Onyo Kali Dhidi ya Wachochezi wa Amani ya Taifa
Akizungumza katika Mkutano na Wazee wa Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelaani vikali vurugu zilizotokea Oktoba 29 na 30, akisisitiza kuwa matukio hayo hayalingani na misingi, utu, wala utamaduni wa Watanzania. Dkt. Samia amesema kuwa kila aliyeathirika katika vurugu hizo iwe ni kuumia…