Kuzaa tunaweza, tunashindwaje kusomesha? | Mwananchi
Dar es Salaam. Watanzania tuna msemo mmoja maarufu: “Kuzaa si kazi, kazi ni kulea.” Lakini leo hii msemo huu unaonekana kugeuzwa mzaha. Tunaona watu wengi wakijitosa kwenye starehe ya tendo la ndoa bila kujiuliza matokeo yake. Wengine wanazaa watoto kana kwamba ni jambo la kawaida, lakini hawana maandalizi ya kisaikolojia, kifedha wala kiakili ya kuwalea….