ADEM Yawaalika Wadau wa Elimu Kushiriki Marathon ya Desemba 6

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu-ADEM umepanga kufanya mbio maalumu za marathon zitakazohusisha wadau mbalimbali wa elimu, mashirika na taasisi yanayojihusisha na usimamizi wa elimu, wanachuo wa vyuo mbalimbali katika Mkoa wa Pwani na wananchi wote zikilenga kuhamasisha umoja, amani na utulivu katika Taasisi za kielimu pamoja na kuchangisha fedha kwa ajili ya kuboresha…

Read More

Simba, Yanga zarudi mzigoni Ligi Kuu Bara

VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga waliokuwa katika majukumu ya mechi za kimataifa wakishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, wanatarajiwa kurejea tena mzigoni kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mara ya mwisho mapema mwezi uliopita na kila moja kuvuna pointi tatu kwa ushindi. Yanga iliyopo Kundi B imetoa kupata suluhu ugenini dhidi ya JS…

Read More

Mabosi Simba wamuweka mtu kati Mpanzu

SIMBA inarejea nchini leo Jumanne ikitokea Mali ilikopoteza mechi ya pili ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa mabao 2-1 na Stade Malien, ambapo kama ilivyo kwa mashabiki kuwashtukia wachezaji kupoteza viwango, ndivyo ilivyo kwa mabosi wa klabu hiyo walioamua kuwakalisha kitimoto baadhi ya nyota wa timu hiyo wakianza na winga Ellie Mpanzu….

Read More

Vigogo CCM waanguka kura za maoni umeya, sura mpya zachomoza

Dar/mikoani. Wakati jiji la Dar es Salaam likipata wagombea wapya wanne wa nafasi ya umeya kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), katika baadhi ya mikoa mingine vigogo wameangushwa. Wagombea wa CCM waliopatikana leo, Desemba 1, 2025 baada ya kushinda kura za maoni zilizofanyika nchi nzima ndani ya mchakato wa chama, sasa wataingia katika uchaguzi utakaowajumuisha pia…

Read More

‘Tunazingatia wanachotaka Watanzania’ | Mwananchi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande amesema anajua utendaji wa tume hiyo utapimwa kitaifa na kimataifa, hivyo imejikita kuzingatia Watanzania wanataka nini. Miongoni mwa mambo waliyobaini amesema Watanzania wanataka  uchunguzi ufanyike kikamilifu,…

Read More