Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yaitwa mahakamani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewataka mwenyekiti na wajumbe wa Tume ya kuchunguza chanzo matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 uliofanyika Oktoba 29, kuhudhuria shauri linalowakabili kesho. Wajumbe wa tume hiyo wameitwa mahakamani hapo kesho Jumanne, Desemba 2, 2025 kufuatia shauri la maombi namba 30210 ya mwaka…