Bashiri Mechi Zote na Meridianbet Leo

LEO hii una nafasi ya kuibuka bingwa kwa kubashiri mitanange kibao ambayo inaendelea ndani ya Meridianbet kwani Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kuna mechi za kupiga pesa ambapo Rayo Vallecano ataumana dhidi ya Valencia ambao wapo nafasi ya 15…

Read More

Je! Maisha ya kila siku yanaonekanaje kwa wanawake wa Afghanistan sasa – maswala ya ulimwengu

“Kama wanawake wengine wengi nimefungwa kwa kazi ya nyumbani.” Mikopo: Kujifunza pamoja. na chanzo cha nje Jumatatu, Desemba 01, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mimi ni mwanamke aliyeelimika wa Afghanistan na mfanyikazi wa zamani wa serikali. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi katika mapambano ya haki za wanawake, elimu, na maendeleo ya jamii. Kwangu,…

Read More

Wanachokisubiri hotuba ya Rais Samia

Dar es Salaam. Macho na masikio ya wananchi yataelekezwa tena Dar es Salaam, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Taifa kuhusu yanayoendelea nchini, ikiwemo masuala ya usalama na kuliponya Taifa. Hotuba hiyo itakayotolewa kesho Jumanne, Desemba 2, 2025, inakuja katikati ya hofu ya usalama waliyonayo baadhi ya wananchi kutokana na maandamano yaliyozaa vurugu ya…

Read More

Dickson Job atoa kauli ya kibabe CAF

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi mbili zijazo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate na Coastal Union, huku nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job akitoa kauli ya kibabe kwa mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wawakilishi hao wa Tanzania wakiwa Kundi B. Katika mechi hizo za CAF, Yanga imekusanya…

Read More

Benki ya Exim na Simba waja na mpango kurahisisha umiliki wa nyumba

Dar es Salaam. Benki ya Exim Tanzania kwa kushirikiana na Simba Developers Limited imesaini makubaliano ya kimkakati yanayolenga kuongeza upatikanaji wa makazi bora na nafuu kwa Watanzania, kupitia mpango maalumu wa mikopo ya nyumba. Kupitia ushirikiano huo, wateja watakaonunua nyumba za kisasa zinazojengwa na Simba Developers watapata mikopo yenye masharti nafuu kupitia bidhaa ya Exim…

Read More

UDSM kuboresha sera na mikakati kukuza elimu ya kidijitali

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV CHUO Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) kipo katika mchakato wa kuboresha sera na mikakati yake ili kuendana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, ikiwemo mapinduzi ya akili-mnemba (AI) na matumizi ya kidijitali katika ujifunzaji, ufundishaji na utafiti. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika Mahafali ya…

Read More