Ally Ally achimba mkwara Geita Gold
BEKI wa kati wa Geita Gold, Ally Ally, amesema ubora na upana wa kikosi hicho ndio sababu ya kufanya vizuri msimu huu, licha ya kukiri ushindani umekuwa mkubwa, kutokana na timu zote kupigania kumaliza ndani ya nafasi mbili za juu kwenye msimamo. Nyota huyo aliyejiunga na kikosi hicho akitokea Bigman aliyoongoza kwa kuifungia mabao matano…