Majeraha ya Yacoub yamtibulia Camara Simba
KOCHA mkuu wa Simba, Steve Barker alitarajiwa kutua nchini jana, lakini huku nyuma kukiwa na taarifa ya kushtukiza kutokana na kuumia kwa kipa Yakoub Suleiman ambaye inadaiwa huenda akamponza kipa namba moja wa timu hiyo aliye majeruhi kwa muda mrefu, Moussa Camara. Yakoub aliumia wiki iliyopita akiwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania…