Jinsi Mashabiki wa Mpira Tanzania Wanavyogundua Jackpot za Casino

Ukweli unaonekana wazi katika ulimwengu wa michezo Tanzania: mashabiki wa mpira wanaendelea kugundua jackpot za casino. Ni maendeleo ya kawaida mashabiki wanaobeti mechi za Simba SC dhidi ya Young Africans wanagundua michezo ya jackpot kwenye majukwaa yale yale wanayotumia kwa kubeti michezo. Hii haibadilishi shauku ya mpira inaongeza. Ufahamu wa udhibiti kuhusu majukwaa yenye leseni…

Read More

Umoja wa makanisa wajipanga kuhudumia wafungwa 2026

Kibaha. Umoja wa Makanisa Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani umetangaza mpango wa kuanzia mwaka 2026 kuongeza nguvu katika utoaji wa huduma za kiroho na kijamii kwa wafungwa magerezani. Umesema hatua hiyo inalenga kuwajenga kimaadili na kiroho, ili kupunguza vitendo vya uhalifu wanaporejea uraiani, sambamba na kuimarisha upendo, amani na mshikamano nchini. Kupitia mpango huo,…

Read More

Adaiwa kunyonga hadi kufa kisa kushindwa kulipa mahari

Arusha. Mkazi wa Mtaa wa Ulkung’ uliopo Kata ya Terat, jijini Arusha, Cleofasi Oiso (35) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga nyumbani kwake, huku chanzo kikitajwa kuwa mgogoro wa kifamilia uliotokana na kushindwa kulipa mahari ya mkewe, ambaye wameishi naye kwa miaka minane. Taarifa zinaeleza kuwa Oiso, aliyekuwa fundi wa kuchomelea alikuwa akiishi na mkewe…

Read More

Mbunge wa Mbarali kuvalia njuga migogoro ya mipaka

Mbarali. Mbunge wa Mbarali mkoani Mbeya, Bahati Ndingo amesema wameweka mikakati ya kutatua migogoro ya ardhi baina ya wananchi na wawekezaji, hususan inayohusisha mipaka ya mashamba katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Ndingo amesema kwa sasa wanasubiri idhini ya Serikali ili kushirikisha wataalamu kwa ajili ya kuhakiki upya michoro ya ramani na mipaka katika maeneo…

Read More

KMC yampigia hesabu Nicholas Gyan

KMC inayoburuza mkia Ligi Kuu Bara inadaiwa ipo katika mawindo ya kumnasa winga wa zamani wa Fountain Gate, Mghana Nicholas Gyan kupitia dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Januari Mosi hadi 31, mwakani. Timu hiyo ambayo kwa sasa ipo chini ya kocha Abdallah Mohammed ‘Baresi’, ilianza msimu kwa kushinda mechi moja kati ya tisa ilizocheza,…

Read More

Straika Pamba Jiji arudi zake Zenji

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Abdallah Idd ‘Pina’ amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Muembe Makumbi City ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kushindwa kuwika Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho cha TP Lindanda. Nyota huyo aliyejiunga na Pamba msimu huu akitokea Mlandege ya Zanzibar na kusaini mkataba wa miaka miwili, alitabiriwa kufanya mambo makubwa…

Read More

Hawa ndio wababe wa Mapinduzi Cup

MSIMU wa 20 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati timu za Kundi A zitakazopokuwa zikikata utepe wa mwaka 2026 katika msako wa taji la michuano hiyo ambalo kwa sasa linashikiliwa na Mlandege ya Zanzibar kwa msimu wa pili mfululizo. Licha ya kwamba michuano hiyo ilianza zaidi ya miaka 20 iliyopita,…

Read More

Wabeba tumaini la Zanzibar Mapinduzi Cup 2026

ULE msimu wa raha kutoka visiwa vya marashi ya karafuu sasa umefika, mashabiki, wapenzi na wadau wa soka ndani na nje ya Zanzibar wamekaa mkao wa kula wakisubiria kushuhudia burudani kutoka kwa timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2026. Kivumbi cha Kombe la Mapinduzi kitanza Desemba 28, 2025 kwenye uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja…

Read More